UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 17/02/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/02/2015.

[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi na Njombe]:
[Mikoa ya Morogoro(kusini), Mtwara na Ruvuma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Lindi na Singida]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Geita, Kigoma, Shinyanga na Mwanza]:
[Mikoa ya Mara na Kagera]:

Hali ya mawingu kiasi na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Morogoro(Kaskazini) na Tanga]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
ANGALIZO;
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA MIKOA YA RUKWA, MBEYA, KATAVI, IRINGA, NJOMBE, RUVUMA NA MOROGORO KUSINI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI                   
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C
17°C
12:42
12:53
D'SALAAM
34°C
24°C
12:28
12:46
DODOMA
29°C
21°C
12:42
01:00
KIGOMA          
29°C
20°C
01:07
01:22
MBEYA
26°C
17°C
12:49
01:11
MWANZA
28°C
19°C
12:57
01:07
TABORA
29°C
19°C
12:55
01:10
TANGA
32°C
24°C
12:30
12:45
ZANZIBAR
34°C
24°C
12:28
12:46
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani
                           ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku yaAlhamisi: 19/02/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 17/02/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.