Umewahi kuona simba akifungua mlango wa gari? shuhudia simba alichokifanya kwenye gari la watalii hawa
Unajua kuwa simba anaweza kufungua mlango wa gari? kama hujui naomba nitumie fursa hii kukujuza, watalii huko Afrika Kusini hawakuamini macho yao pale simba alipofungua mlango wa gari lao wakiwa mbugani. tatizo ni kwamba hawakuweka lock kwenye mlango, kwa kilichowakutka nina hakika hawatarudia tena kutoweka lock mlango wa gari, tazama uhondo mzima hapa tabianchi