UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 06/03/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 06/03/2015.
[Mikoa ya Mtwara, Lindi na Morogoro (Kusini)]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi, Njombe na Ruvuma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kagera, Geita, Shinyanga, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Morogoro (Kasikazini) ]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Tanga , Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro ]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C
14°C
12:43
12:51
D'SALAAM
34°C
26°C
12:30
12:42
DODOMA
31°C
17°C
12:45
12:55
KIGOMA    
28°C
20°C
01:09
01:19
MBEYA
24°C
16°C
12:52
01:09
MWANZA
29°C
19°C
12:58
01:04
TABORA
29°C
13°C
12:57
01:07
TANGA
31°C
26°C
12:32
12:42
ZANZIBAR
35°C
26°C
12:30
12:42

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kaskazini-Mashariki Kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kaskazini Kwa  Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi hadi makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 08/03/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 06/03/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.