UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 19/03/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@me... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/03/2015.

[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani na Morogoro)]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Kagera, Mwanza, Shinyanga, Geita na Mara]:
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
 [Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

ANGALIZO:
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA DAR -ES -SALAAM, PWANI, MOROGORO, RUVUMA, LINDI NA MTWARA


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C
18°C
12:42
12:47
D'SALAAM
32°C
25°C
12:29
12:38
DODOMA
30°C
18°C
12:43
12:52
KIGOMA    
29°C
21°C
01:07
01:14
MBEYA
23°C
15°C
12:52
12:59
MWANZA
33°C
20°C
12:59
01:01
TABORA
31°C
17°C
12:55
01:03
TANGA
32°C
24°C
12:30
12:38
ZANZIBAR
32°C
25°C
12:29
12:38

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa Kwa Pwani
 yote                                                   

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 21/03/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 19/03/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.