UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 11/04/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@... thumbnail 1 summary


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 11/04/2015.
[Mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Katavi na Rukwa]:
[Mikoa ya Mwanza, Mara, Shinyanga, Kagera na Geita]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C
18°C
12:35
12:36
D'SALAAM
34°C
24°C
12:26
12:23
DODOMA
31°C
20°C
12:40
12:37
KIGOMA   
27°C
20°C
01:03
01:02
MBEYA
21°C
16°C
12:50
12:45
MWANZA
25°C
18°C
12:49
12:50
TABORA
28°C
18°C
12:51
12:50
TANGA
32°C
24°C
12:26
12:25
ZANZIBAR
31°C
25°C
12:26
12:23

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 13/04/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 11/04/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.