UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 19/05/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/05/2015.

[Mikoa ya Shinyanga, Mara, Geita, Kagera na Mwanza]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Katavi, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Ruvuma, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Kigoma, Morogoro, Mtwara na Lindi]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO:
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C
14°C
12:31
12:29
D'SALAAM
33°C
22°C
12:26
12:12
DODOMA
28°C
16°C
12:38
12:28
KIGOMA    
31°C
19°C
01:01
12:53
MBEYA
20°C
8°C
12:51
12:33
MWANZA
28°C
19°C
12:44
12:44
TABORA
28°C
15°C
12:49
12:41
TANGA
31°C
23°C
12:24
12:16
ZANZIBAR
31°C
25°C
12:26
12:12

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Alhamisi: 21/05/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 19/05/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.