UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 17/06/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 17/06/2015.


[Mikoa ya Mara, Mwanza, Kagera, Shinyanga na Geita]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

 [Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam,Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Manyara, Kilimanjaro na Arusha]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
 [Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Tabora, Kigoma, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.




VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C
11°C
12:36
12:30
D'SALAAM
32°C
20°C
12:31
12:13
DODOMA
27°C
16°C
12:43
12:29
KIGOMA       
29°C
20°C
01:05
12:54
MBEYA
24°C
06°C
12:58
12:32
MWANZA
29°C
18°C
12:48
12:43
TABORA
31°C
14°C
12:54
12:42
TANGA
29°C
23°C
12:29
12:17
ZANZIBAR
30°C
23°C
12:31
12:13

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma Kutoka Kusini-mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 19/06/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 17/06/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.