WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 04/07/2015.
[Mikoa ya Mara na Kagera]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na ngurumo
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Morogoro, Tanga, Dar
es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Tabora, Kigoma, Mwanza,
Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida, Lindi,
Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Rukwa, Katavi, Mbeya,
Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara
na Arusha]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
20°C
|
15°C
|
12:41
|
12:35
|
D'SALAAM
|
32°C
|
18°C
|
12:36
|
12:18
|
DODOMA
|
26°C
|
14°C
|
12:48
|
12:34
|
KIGOMA
|
30°C
|
17°C
|
01:11
|
12:59
|
MBEYA
|
21°C
|
07°C
|
01:03
|
12:37
|
IRINGA
|
23°C
|
13°C
|
12:51
|
12:31
|
MWANZA
|
26°C
|
18°C
|
12:53
|
12:50
|
TABORA
|
29°C
|
15°C
|
12:59
|
12:47
|
TANGA |
29°C
|
21°C
|
12:34
|
12:22
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
22°C
|
12:36
|
12:18
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka Kusini kwa
Pwani ya Kaskazini na km 30 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa
Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi hadi Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
06/07/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 04/07/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.