Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo. tarehe 23/07/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 23/07/2015.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Pwani]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mwanza, Kagera na Mara]:

Hali ya Mawingu kiasi na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Singida, Morogoro na Ruvum]: [Mikoa ya Njombe, Mbeya, Iringa,Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Katavi, Kigoma, Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Shinyanga na Geita]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
24°C
15°C
12:42
12:38
D'SALAAM
32°C
20°C
12:37
12:21
DODOMA
28°C
16°C
12:50
12:36
KIGOMA    
30°C
16°C
01:12
01:01
MBEYA
23°C
07°C
01:03
12:41
IRINGA
25°C
14°C
12:52
12:34
MWANZA
28°C
18°C
12:55
12:53
TABORA
30°C
15°C
01:00
12:50
TANGA
29°C
22°C
12:35
12:25
ZANZIBAR
30°C
23°C
12:37
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa
Pwani yote.

Hali  ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 25/07/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 23/07/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.