MAMLAKA YA HALI YA HEWA YAANZA KUTOA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI DODOMA

        Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya Hali ya hewa kutoka Mamlaka ya hali ya  Hewa Nchini  Dkt, Ladislaus Chang'a, akifafa... thumbnail 1 summary
 
 
 
 Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya Hali ya hewa kutoka Mamlaka ya hali ya  Hewa Nchini  Dkt, Ladislaus Chang'a, akifafanua jambo kwa wanafunzi wa shule maalumu ya Vipaji ya wasichana ya Msalato kuhusu kuhusu mabadiliko ya tabia Nchi.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)
 Wanafunzi wa Shule maalumu ya vipaji ya wasichana ya Msalato mjini Dodoma wakifuatilia jambo kwa makini wakati Mkurugenzi wa Utafiti na matumizi ya hali ya hewa Nchini Dkt, Ladislaus Chang'a alipokuwa akitoa mada kuhusu uhalibifu wa mazingira ili kunusuru Mabadiliko ya tabia nchi.