Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo. tarehe 21/08/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 21/08/2015.
[Mkoa wa Kagera]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Mara]:

Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mkoa wa Tanga na Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Dar es Salaam,Pwani na Morogoro(Kaskazini)]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Katavi, Mbeya, Kigoma, Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Mtwara, Lindi, Iringa, Njombe na Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Morogoro(Kusini)]:
[Mikoa ya Geita,Mwanza na Shinyanga]:



Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.



VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
23°C
13°C
12:38
12:37
D'SALAAM
30°C
19°C
12:30
12:22
DODOMA
28°C
16°C
12:43
12:37
KIGOMA    
32°C
18°C
01:06
01:02
MBEYA
26°C
06°C
12:55
12:43
IRINGA
28°C
12°C
12:48
12:34
MWANZA
29°C
19°C
12:51
12:51
TABORA
33°C
17°C
12:54
12:50
TANGA
28°C
22°C
12:29
12:25
ZANZIBAR
29°C
22°C
12:30
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 23/08/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 21/08/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.