Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo. tarehe 23/08/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 23/08/2015.

[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza, Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Katavi, Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM40 KWA SAA NA MAWIBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA ZIWA VICTORIA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
26°C
12°C
12:38
12:37
D'SALAAM
30°C
20°C
12:30
12:22
DODOMA
28°C
15°C
12:43
12:37
KIGOMA    
33°C
17°C
01:06
01:02
MBEYA
25°C
06°C
12:55
12:43
IRINGA
27°C
14°C
12:48
12:34
MWANZA
32°C
19°C
12:51
12:51
TABORA
31°C
16°C
12:54
12:50
TANGA
26°C
23°C
12:29
12:25
ZANZIBAR
30°C
20°C
12:30
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 25/08/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 23/08/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.