Tanzania yashika nafasi ya 8 katika nchi 20 zinazovutia duniani

Website maarufu ya Marekani, Buzzfeed imeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya nane katika orodha yake ya nchi 20 zinazovutia zaidi duniani. ... thumbnail 1 summary
Website maarufu ya Marekani, Buzzfeed imeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya nane katika orodha yake ya nchi 20 zinazovutia zaidi duniani.
enhanced-7309-1430834722-9
Afrika Kusini imekata nafasi ya kwanza kwenye orodha hiyo.
Kuhusu Tanzania website hiyo imeandika:

Land of the Serengeti, Lake Victoria, Lake Natron and Lake Manyara, the Ngorongoro Crater, Zanzibar, the Spice Islands, Dar Es Salaam and a million more, Tanzania is almost beyond belief.
Mount Kilimanjaro rises over 3 miles above the surrounding plains, making it one of the world’s two mountains with greatest vertical relief, together with our own McKinley. It is also the largest free standing mountain in the world.

Birthplace of Freddie Mercury, the country is one of the very best wildlife destinations on earth. During the great migrations between Kenya’s Maasai Mara and Tanzania’s Serengeti, which means ‘Endless Plains’, the largest migration of mammals in the world takes place. This spectacle sees millions of animals moving in search of better grazing and prey, and has been called the greatest sight on Earth. 

In February alone, an estimated 500,000 wildeest calves are born on the planes!
The immense flamingo flocks that dominate Lake Manyara and Lake Natron are breathtaking, and this is made all the more stunning by the fact that Natron itself is a vivid pink color due to its chemical content. Tanzania is almost too beautiful to believe.

Hii ni orodha kamili
20. Nepal
19. Australia
18. Philippines
17. Norway
16. Brazil
15. Chile
14. India
13. Uganda
12. Switzerland
11. Canada
10. Kenya
9. Italy
8. Tanzania
7. Colombia
6. Argentina
5. Namibia
4. China
3. New Zealand
2. USA
1. South Africa

Chanzo: Bongo5