Mdahalo wafanyika kujadili umuhimu wa ujenzi na mipango miji inayozingatia uhifadhi wa mazingira katika miji mikubwa nchini

Ubalozi wa Ufaransa kwa kushirikiana na Alliance France Februari 25, 2016 wameendesha mdahalo mkubwa kujadili umuhimu wa kuzingatia kanu... thumbnail 1 summary
Ubalozi wa Ufaransa kwa kushirikiana na Alliance France Februari 25, 2016 wameendesha mdahalo mkubwa kujadili umuhimu wa kuzingatia kanununi za uhifadhi wa mazingira katika ujenzi katika miji mikubwa nchini.

Mdahalo huo mbali na kuhudhuariwa na watu mbalimbali kutoka kwenye taasisi za serikali, mashirika binafsi, pia ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba, Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bibi Melika Berak.
Wachangia mada katika mdahalo huo, kutoka kushoto ni Profesa Alphonce Kyessi kutoka Chuo Cha Ardhi Dar es Salaam, Mhandisi Anoek de Smet, Mhandisi kutoka Ufaransa, Aline d’Amman pamoja na Mkurugenzi wa Jarida la ANZA, John Senyonyi
 Wadau wakifuatilia mdahalo huo
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bibi Melika Berak (wa kwanza kulia) akifuatiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba wakifuatilia mdahalo huo
Profesa Alphonce Kyessi kutoka Chuo Cha Ardhi Dar es Salaam


Mkuu wa Idara ya Mambo ya Ushirikiano na Utamaduni, Ubalozi wa Ufaransa, Philippe Boncour akizungumza jambo wakati wa mdahalo huo