Tanzania Airlines

Maendeleo katika sekta ya usafiri wa anga pamoja na mambo mengine pia yanategemea sana uwepo wa mashirika mengi ya ndege na ubora wa huduma... thumbnail 1 summary
Maendeleo katika sekta ya usafiri wa anga pamoja na mambo mengine pia yanategemea sana uwepo wa mashirika mengi ya ndege na ubora wa huduma zinazotolewa na mashirika hayo. 
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mpaka July 2013 kampuni (mashirika) 47 kati ya 74 zilizopata leseni ya kutoa huduma za usafiri wa anga zimekuwa zikitoa huduma hizo. Leo nakuletea orodha na majina ya  kampuni hizo ni kama ifuatavyo:-


NO
 Majina ya kampuni za ndege
1
Air Tanzania Company Ltd 
2
 Precision Air Services PLC
3
 Coastal Travels Ltd
4
Zan Air Ltd
5
Air Excel Ltd
6
Regional Air Services Ltd
7
Nothern Air Ltd
8
Zantas Air Service Ltd
9
Mission Aviation Fellowship (MAF)
10
Auric Air Services Ltd
11
Tanzania Government Flight Agency
12
Serengeti Balloons (Tourism &Public Relations Services Ltd)
13
 Flightlink Ltd
14
Astral Aviation Ltd
15
Airspray (T) Ltd
16
Tanzania air Services Ltd (T/a Tanzanair)
17
Desert Locust Control Org
18
Tanganyika Flying Co. Ltd (Nomad Aviation Ltd)
19
Kenya Aeronav
20
Photomap International Inc
21
Humming Bird Aviation Ltd
22
Tropical Air (Z) Ltd
23
Meridiana Fly SPA
24
Fly Safari Air Link Ltd
25
Fly 540(T) Ltd
26
Mosswood Transport (T) Ltd
27
Care Aviation &Tour Ltd
28
Zan Recreational Products Ltd
29
Safari Plus Ltd
30
Keys Aviation Co.Ltd
31
Ultimate Security (Tanzania) Ltd
32
Tandrill Ltd
33
Everret Aviation Ltd
34
Adventures aloft (T) Ltd
35
Seven Four Eight Air Services (K)
36
Seaplanes Africa Company Ltd
37
Whirlwind Aviation Tanzania Limited
38
Safari Express Cargo Limited
39
Firelight Safaris Ltd
40
African Balloon Safari Ltd
41
Zenith Aviation (Z) Limited
42
Pelican Aviation and Tours Limited (PATL)
43
Assalaam Air (Z) Company Limited
44
Zan Aviation At Work Ltd
45
Blue Panorama Airlines S.P.A
46
Neos S.P.A
47
Shine Aviation Ltd
Tabianchi 2013