KUDADADEEEKI!!! HATA KAMA WATANZANIA MNAPUUZA VYA KWENU ILA SAIDA KAROLI 'KYALI MUTO' NI ZAIDI YA BEYONCE, CHECK VIDEO

Niliamini kuwa mwanamziki huyo Saida Karoli angepata sapoti kubwa kutoka kwa Watanzania, tukianza na Wahaya wenyewe na Serikali kwa ujumla w... thumbnail 1 summary
Niliamini kuwa mwanamziki huyo Saida Karoli angepata sapoti kubwa kutoka kwa Watanzania, tukianza na Wahaya wenyewe na Serikali kwa ujumla wake kwa kuwa alikuwa akiimba nyimbo zinazotangaza utamaduni wetu. lakini sipaji jibu ilikuwaje kiasi hata sasa hakuna mtu aliyeonyesha nia ya kuendeleza jitihada za mwanamama huyu kutoka huko kwa akinanshomire, any way imeniumiza tu kuona mtu kama huyu anaweza kutelekezwa tu namna hii, au kuna kitu aliwakosea Watanzania? lakini tuyaache hayo tuserebuke na ngoma yake Kyali Muto mauno yake humu ndani ni zaidi ya Beyonce.