REDD'S MISS TANZANIA WATEMBELEA BONDE LA NGORONGORO

Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa nje ya jengo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro walipokwenda kuona ... thumbnail 1 summary
Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa nje ya jengo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro walipokwenda kuona vivutio vilivyomo humo wakiwemo wanyama na ndege.
 
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa katika picha ya pamoja na watalii waliofika katika Bonde la Ngorongoro
Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakipewa maelezo kuhusu picha zilizomo katika Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa na watalii wengine wakiangalia maajabu ya Bonde la Ngorongoro ambalo ni moja ya vivutio vinavyotarajiwa kuingia kwenye maajabu ya Dunia.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakizunguka kuona maeneo ya Bonde la Ngorongoro .
Warembo wakifurahia kutembelea hifadhi ya Bonde la Ngorongoro.

Chanzo: Arusha yetu