Tahadhari ya mvua kubwa kwa watanzania wote kuwa kuanzia Oct 8 - Oct 11 2012

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania kupitia TBC imetoa tahadhari kwa watanzania wote kuwa kuanzia Oct ... thumbnail 1 summary

Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania kupitia TBC imetoa tahadhari kwa watanzania wote kuwa kuanzia Oct 8 - Oct 11 2012 kutakuwa na mvua kubwa. Taarifa hii ilisomwa leo kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku ya TBC TV. Maeneo ambayo mvua hiyo inatarajia kunyesha hayakutajwa. Hivyo watanzania wote tunatakiwa kuchukua tahadhari juu ya hili.