Tanzania imebarikiwa sana kwa kuwa na nishati mbalimbali za
madini, mafuta na gesi lakini baadhi ya Baraka hizi zinaonekana kuwa na hatari
kwa jamii endapo hazitatumiwa kwa uangalifu hasa kwa kukosa usimamizi makini na
udhibiti wa uharibifu wa mazingira, bonyeza hapo chini ili kumsikia Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Nguvu za Nyuklia (Atomic Energy) Tanzania, Idd Mkilaha akieleza
kwa undani nafasi ya Tanzania katika kutumia nishati hiyo, faida na hasara zake
kwa jamii na mazingira