UDHIBITI MKALI WA MIFUKO YA PLASTIKI ZANZIBAR

 Serikali ya mapinduzi Zanzibar katika hali ya kudhibiti kikamilifu uharibifu na uchafuzi wa mazingira kisiwani humo iliamua kudhibiti... thumbnail 1 summary
 Serikali ya mapinduzi Zanzibar katika hali ya kudhibiti kikamilifu uharibifu na uchafuzi wa mazingira kisiwani humo iliamua kudhibiti matumizi ya mifuko ya plastiki na aina zote za mifuko hiyo na kuamua kufanya ukaguzi kwa wananchi wote na wageni wanaoingia kisiwani humo kupitia bandari ya Malindi  Zanzibar. na pindi uingiapo tu badandarini hapo unakaribishwa na tangazo hilo hapo juu.
 Wageni mbalimbali wakisubiri ukaguzi wa mizigo yao na endapo kama wana mifuko ya plastiki basi huiacha hapo na kupewa mifuko aina nyingine.
Wafanyakazi wa katika kitengo hicho cha Udhibiti wa Mifuko ya plastiki wakifanya ukaguzi. 
Chanzo: Zanzibartz