UTAMADUNI WA VITU ASILI VYAIPANDISHA RWANDA KIUCHUMI

Kwa hali ya kawaida utaona ni ngumu kuamini kwamba kitu kama utamaduni kinaweza kuwa chanzo kikubwa cha uchumi kukua katika nchi husi... thumbnail 1 summary

Kwa hali ya kawaida utaona ni ngumu kuamini kwamba kitu kama utamaduni kinaweza kuwa chanzo kikubwa cha uchumi kukua katika nchi husika.

Nchi ya Rwanda imekuwa moja kati ya nchi baarani Afrika ambayo imefanikiwa kukuza na kuendeleza utamaduni na sanaaa mbao tayari imekuwa ikichangia kalibia asilimia 60 ya mapato ya nchini na kuwapatia ajira vijana kwa urahisi.
Mapato haya yamekuwa yakitokana  na fedha za kigeni ambazo wamekuwa wakitoa watalii kutoka nje ambao hasa wamekuwa wakihamasika kununua vitu vizuri vya asili ambavyo vinatengenezwa kiasilia na wasanii wa sanaa za utamaduni nchini humo.

 Mbali na  kuteka soko la watalii wamekuwa na vivutio  vya asili ikiwemo vyakula na ngoma.Taasisi zinazohusika na mambo ya utalii wamekuwa mstali wa mbele kutangaza vivutio hivyo ndani na nje ya nchi ukilinganisha na sisi wabongo ambao tunavivutio lukuki na tumeshindwa kunufaika navyo.
Sijui idara zetu hapa Tanzania zenye dhamana ya mambo haya ya utamaduni  zinafanya nini.Inafahamika sisi ni the best more than Rwanda kwa vivutio,sijui tunakwama sehemu gani ama tatizo liko wapi!
Chanzo: Ngwesa blog