VIDEO YA BOMOA BOMOA DODOMA, WAKAZI ZAIDI YA 600 WAATHIRIKA NA BOMOA BOMOA HIYO

Zaidi ya wakazi 600 wa mtaa wa Itega kata ya Kikuyu manispaa ya Dodoma hawana mahala pa kuishi kufuatia mamlaka ya ustawishaji makao makuu D... thumbnail 1 summary
Zaidi ya wakazi 600 wa mtaa wa Itega kata ya Kikuyu manispaa ya Dodoma hawana mahala pa kuishi kufuatia mamlaka ya ustawishaji makao makuu Dodoma CDA kuvunja nyumba zaidi ya 60 katika eneo hilo kwa madai kuwa wakazi hao kuvamia eneo hilo kinyume na sheria.