UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 31/08/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 31/08/2013.

[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Mara na  Kagera]:


Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Shinyanga na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma, Mbeya, Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya  Mwanza Kigoma, Iringa na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C               
11°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
32°C           
18°C           
12:24
12:22
DODOMA
29°C
17°C
12:38
12:36
KIGOMA    
32°C
20°C
01:02
01:00
MBEYA
26°C
08°C
12:49
12:43
MWANZA
31°C
18°C
12:47
12:49
TABORA
31°C
18°C
12:50
12:48
TANGA
29°C
21°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
30°C           
21°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini – Mashariki kwa Pwani                  ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
                            
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 02/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 31/08/2013

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.