Bodi ya Utalii nchini yatiliana saini makubaliano ya kuitangaza Tanzania na Taasisi ya African Future Forum ya Korea ya Kusini

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (kulia) akiongea jambo na Heunsu Kim ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji ku... thumbnail 1 summary
picha no.1
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (kulia) akiongea jambo na Heunsu Kim ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji kutoka Taasisi ya African Future Forum (AFF) wakati wa utiaji saini makubaliano ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
picha no.2
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya  African Future Forum (AFF) Heunsu Kim (wa pili kushoto) wakitia  saini makubaliano ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul. Wanaoshuhudia zoezi hilo ni wafanyakazi kutoka ofisi ya TTB na AFF, wakwanza kulia waliokaa ni George Kizeba ambaye ni Mkurugenzi wa AFF upande wa Tanzania  na wa nne ni  Chris Chae ambaye ni Katibu Mkuu wa AFF Afrika.
picha no.3

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (kulia) na Heunsu Kim (kushoto) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji kutoka African Future Forum (AFF) wakitia  saini makubaliano ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
picha no.4

Katibu Mkuu wa Taasisi ya African Future Forum (AFF) upande wa Afrika Chris Chae (kushoto) akimuelekeza kitu Mkurugenzi Mtendaji wa AFF Heunsu Kim (kulia) ili aweze kutia  saini makubaliano baina yao na Bodi ya Utalii nchini (TTB) ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul. Utiaji saini huo ulifanyika leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
picha no.6
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB) Dk. Aloyce Nzuki (kulia) akibadilishana na Heunsu Kim ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya African Future Forum (AFF) nakala za makubaliano ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul.  Utiaji saini huo ulifanyika leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
picha no.8

Wafanyakazi kutoka Taasisi ya African Future Forum (AFF) wakisubiri kuanza kwa zoezi la utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul.  Utiaji saini huo ulifanyika leo katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
picha no.9
Waandishi wa Habari wakifuatilia zoezi la utiaji saini wa makubaliano kati ya Taasisi ya African Future Forum (AFF) na  Bodi ya Utalii nchini (TTB) ya kuisaidia Tanzania kujitangaza kiutalii katika nchi ya Korea ya Kusini na kufungua ofisi ya utangazaji kwa ajili ya utalii katika mji wa Seoul. (Picha na Anna Nkinda – Maelezo).