BREAKING NEWS: Moto umeteketeza hoteli mbili za Kitalii Zanzibar, White Sands and Sunset

Moto umeteketeza hoteli mbili za kitalii za White Sands na Sunset zilizopo Nungwi, Zanzibar hakuna majeruhi aliyeripotiwa. Picha na taarif... thumbnail 1 summary
Moto umeteketeza hoteli mbili za kitalii za White Sands na Sunset zilizopo Nungwi, Zanzibar hakuna majeruhi aliyeripotiwa. Picha na taarifa zaidi zitakujia baadae