Breaking News: Mwanamke mwingine akamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege JNIA mchana huu

Mama mmoa muda si mrefu mchana huu amekamatwa na dawa za kulevya akiwa amevalia bai bui kwa juu na kufunika sura alipanga kusafiri na ndege ... thumbnail 1 summary
Mama mmoa muda si mrefu mchana huu amekamatwa na dawa za kulevya akiwa amevalia bai bui kwa juu na kufunika sura alipanga kusafiri na ndege ya Ethiopian Airways. Sasa yuko kweny ulinzi wa polisi baada ya kumbamba na dawa hizo alizokuwa ameziweka kwenye plastic za Johnson Powder, habari zaidi inakujia

Chanzo: JF