Kiwango cha nauli za mabasi katika kila mkoa Tanzania

(Hii ni huduma mpya kutoka tabianchi , sasa mtandao huu pia utakuwa ukikuletea taarifa za mambo ya usafiri kwa ujumla wake) -------------... thumbnail 1 summary
(Hii ni huduma mpya kutoka tabianchi, sasa mtandao huu pia utakuwa ukikuletea taarifa za mambo ya usafiri kwa ujumla wake)
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Abiria wanaosafiri kwa kutumia mabasi nchini bado wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokuwa na taarifa za kutosha kuhusu usafiri huo

Hasa linapofika swala zima la nauli, tatizo kubwa lipo kwa abiria ambao kila siku wamejikuta wakilipa nauli zaidi ya zilizopangwa wakati wa kukata tiketi, pengine ni kutokana na kutokuwa na uelewa kabisa nauli ni shilingi ngapi katika safari zao.


Ili kuondoa usumbufu huo nimeona nikuletee nauli mpya za mabasi katika maeneo mbalimbali ndani na kwenda nje ya mkoa wako


 Kupata kiwango cha nauli katika mikoa mingine tembelea hapa kesho.... tabianchi