Mafunzo baada ya maadhimisho ya siku ya tabaka la ozone duniani yaendelea jijini Mwanza

 Kulia bwana  Sheejo Varghsese, meneja katika kiwanda cha kutengeneza samaki cha Tanpearch cha jijini Mwanza akiwaonyesha washiriki wa maf... thumbnail 1 summary
 Kulia bwana  Sheejo Varghsese, meneja katika kiwanda cha kutengeneza samaki cha Tanpearch cha jijini Mwanza akiwaonyesha washiriki wa mafunzo katika maadhimisho ya siku ya ozone, namna mitambo ya kuupozea katika kiwanda hicho yenye kemikali rafiki kwa tabaka la ozone inavyofanya kazi.
 Bwana Robnson Swai mwalimu wa VETA Moshi, akitoa mada wakati wa mafunzo kwa mafundi na washiriki wengine jijini Mwanza katika siku ya pili baada ya maadhimisho ya siku ya Ozone Duniani
Baadhi ya washiriki katika mafunzo ya hifadhi ya tabaka la ozone jijini Mwanza (Picha na Evelyn Mkokoi)