Moto wateketeza msitu Mkoani Njombe

Picha zikionesha moto ulivyoacha madhara makubwa kwa wenye misitu hii baada ya kuteketeza miti na mimea mingine iliyokuwa... thumbnail 1 summary
Picha zikionesha moto ulivyoacha madhara makubwa kwa wenye misitu hii baada ya kuteketeza miti na mimea mingine iliyokuwa katika eneo hilo. Haijafahamika mara moja nini chanzo cha moto huo(PICHA ZOTE NA EDWIN MOSHI)