NEWS ALERT: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA ZIWA VICTORIA.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 28/09/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tabora, Kigoma na  Shinyanga ]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Lindi, Mtwara,  Rukwa na  Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Morogoro]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]: 
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

ANGALIZO: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA ZIWA VICTORIA. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C               
13°C               
12:24
12:30
D'SALAAM
32°C           
21°C           
12:13
12:19
DODOMA
33°C
18°C
12:27
12:33
KIGOMA    
31°C
21°C
12:57
12:58
MBEYA
30°C
08°C
12:36
12:41
MWANZA
28°C
18°C
12:38
12:44
TABORA
34°C
20°C
12:39
12:45
TANGA
30°C
21°C
12:14
12:20
ZANZIBAR
32°C           
22°C           
12:13
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya
                                Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 30/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 28/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.