Picha: Hatua kwa hatua mapigano makali kati ya chui na mamba, chui alitaka kumla mamba

Ni nadra sana kuona chui akimgeuza msosi Mamba lakini kupitia picha zifuatazo hapo chini utajionea hatua kwa hatua chui akikukuruka na ma... thumbnail 1 summary
Ni nadra sana kuona chui akimgeuza msosi Mamba lakini kupitia picha zifuatazo hapo chini utajionea hatua kwa hatua chui akikukuruka na mamba lengo ni kumgeuza mwenzake kitoweo cha siku.

Chui alianza kunyata taratibu kabla ya kuogelea ndani ya maji kumfuata mamba na baadae kuanza kumrarua kwa kucha na meno jambo ambalo lilikuwa gumu kidogo. baada ya kuona mambo yamekuwa magumu nchi kavu akaamua kumpeleke kwenye kina cha maji. tukio hili limetokea BrazilImeandaliwa na Dotto Kahindi kwa msaada wa mtandao