PICHA: MATITI YA TEMBO YAPO KWENYE MIGUU YA MBELE

Tofauti na wanyama wengine ambao kiwele chao kipo katikati ya miguu ya nyuma tembo ana kiwele katikati ya miguu ya mbele,ajabu nyingine migu... thumbnail 1 summary
Tofauti na wanyama wengine ambao kiwele chao kipo katikati ya miguu ya nyuma tembo ana kiwele katikati ya miguu ya mbele,ajabu nyingine miguu ya tembo inajikunja kwenye goti na chini ya goti. Pia tembo huona rangi moja tu.

Tembo anaelezwa kuwa ni mnyama anaeweka kumbukumbu ya matukio kwa miaka mingi na kumbukumbu hiyo inaweza kurithishwa kizazi na kizazi.
Chanzo: JF