Tembea uone, tembea
uelimike! hapa nakupeleka kwenye kijiji cha Kinole huko Mkoani Morogoro, eneo
ambalo liko kwenye Mlima Uluguru na lengo langu ni kukuonyesha mawe yenye
muonekano wa mafuvu ya binadamu.
Ndo ujue nchi hii kwa
vivutio vya utalii ‘inatisha’, karibu!