Waswahili wanasema
vidole kwenye kiganja havilingani kuna utafauti mkubwa kati ya dole gumba na
chanda.
Ninasema hivi kwa
sababu ya maoni ya baadhi ya wadau wa usafiri wa anga ambao wamejaribu kulinganisha
mipango ya ujenzi wa terminal III ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl.
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam JNIA na ujenzi wa uwanja wa ndege wa
Muscat, Oman.
Takwimu zinaonyesha
kuwa baada ya uwanja wa ndege wa JNIA kukamilika utakuwa na uwezo wa kuhudumia
abiria milioni 6 wakati uwanja wa Muscat, Oman ukikamilika hatua ya kwanza
utakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 12.
Ni haki kulinganisha
ujenzi wa uwanja wa ndege JNIA na uwanja wa Oman? Wadau mtaamua wenyewe ila
nilichotaka hapa ni kuwaonyesha picha za mwonekano wa uwanja huo
utakapokamilika.
Muonekano wa uwanja kwa juu
Ukumbi kwa wanaowasili uwanjani hapo
Sehemu ya ukaguzi wa passport
Sehemu ya kuingilia
Mnara wa kuongozea ndege
muonekano wa juu
Sehemu ya kuchukulia mizigo
Barabara za kuingia uwanjani
Muonekano wa juu
Taarifa za ukubwa na uwezo wa uwanja huo
Sehemu ya kupark ndege
www.tabianchi.blogspot.com