Picha: Shuhudia namna konokono anavyotumika kunogesha massage

Sijui nisema ni ubunifu au kuzidi kwa maarifa!! nimeipata hii kwenye mtandao ikipambwa na maneno kuwa hakuna massage nzuri kama ya kufanyiw... thumbnail 1 summary
Sijui nisema ni ubunifu au kuzidi kwa maarifa!! nimeipata hii kwenye mtandao ikipambwa na maneno kuwa hakuna massage nzuri kama ya kufanyiwa kwa kutumia konokono, mwili umesisimka aiseee, anyway ngoja tu nikuwahishe kwenye picha zenyewe ushuhudie kwa macho yako then uta-imagine utamu wa massage hiyo.