Picha: Simba aliyekula mbuzi 47 auawa Morogoro

Kwa kimombo tunaiita 'life and death', Simba aliyetumia fursa vizuri kwa kujilia mbuzi 47 ameyaonja mauti baada ya kupigwa hadi kuf... thumbnail 1 summary
Kwa kimombo tunaiita 'life and death', Simba aliyetumia fursa vizuri kwa kujilia mbuzi 47 ameyaonja mauti baada ya kupigwa hadi kufa na Askari wanyamapri.
Simba huyo ambaye amesumbua kwa muda mrefu Mkoani humo maaskari Wanyamapori Mkoani Morogoro wamemwinda na kumuua simba huyo aliyetafuna mbuzi 47 katika Mlima Uluguru eneo la kijiji cha Bagilo kata ya Kinole, Tarafa ya Mkuyuni Mkoani humo.Askari wanyamapori Wakimchuna ngozi simba

Picha na Lusajo Mwakibinga FB