Picha sita za mapigano ya simba dume!

Wanasema vita vya panzi furaha ya kunguru, lakini vita ya simba ni furaha ya nani?? kila mtu atakuwa na jibu lake, sina lengo jingine hapa ... thumbnail 1 summary
Wanasema vita vya panzi furaha ya kunguru, lakini vita ya simba ni furaha ya nani?? kila mtu atakuwa na jibu lake, sina lengo jingine hapa bali nataka kukuletea picha za tukio moja ambalo limetokea hivi karibuni ambapo simba walinaswa katika kamera wakionyeshana ubabe na asikwambie mtu, vita yake ni kali sana. karibu kushuhudia
lions-stalking
Picha ilianza hivi
lions-chasing2lions-fightinglions-fighting-each-otherlions-attacking-each-other

lions-chasing
Vijana wa siku hizi wanasema 'Kimenuka' bora 'kusepa'

Bonyeza hapa ku-like page yetu kwa habari za usafiri wa anga, mazingira, maliasili na utalii