Picha: TCRA yaendesha mafunzo kwa wamiliki wa blogs Tanzania

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Ma... thumbnail 1 summary
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza jijini Dar es Salaam.

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Dkt. Raynold Mfungahema akiwasilisha mada wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Viongozi na Bloggers wakiwa wanafuatilia kwa umakini Mafunzo
 Sehemu ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakiendelea na zoezi la kuchukua matukio mbali mbali wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.


 Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini  wakiwa kwenye Warsha hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es Salaam.


Muhudin Issa Michuzi aliye vaa suti Nyeusi akifuatilia kwa umakini Mafunzo kwa ajili ya Bloggers.

 Kutoka Kulia ni Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Joesph Mwaisango akiwa na Blogger Rashid Mkwinda wakifuatilia kwa umakini mafunzo
 Baadhi ya Bloggers wakifuatilia Jambo kwa umakini
 Kutoka kushoto ni Fredy Anthony ambaye anatokea Blogs za Mikoa pamoja na Muwakilishi wa Full Shangwe Blog
 Kutoka kushoto ni Dotto Kahindi kutoka Blog ya Tabianchi akiwa na Adela Kavishe

 Mkurugenzi wa Google Africa Joe Mucheru akitoa mada wakati wa Mafunzo kwa Bloggers
 Mmoja ya watoa Maada katika Maswala ya Mitandao ya Kijamii Liz Wachuka akizungumza jambo wakati wa Mafunzo kwa Bloggers.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akijibu Maswali ambayo yaliulizwa na Bloggers wakati wa semina hiyo
 Meza kuu wakifuatilia Mada kwa umakini
 Liz Wachuka Akijibu maswali yaliyo ulizwa na Bloggers
 Afisa Habari wa TCRA Doris Saivoye  akizungumza Jambo wakati wa Mafunzo kwa Bloggers.
 Mwandishi Mkuu wa Mbeya Yetu Blog Joseph Mwaisango akisaliiana na Blogger Mkongwe Mwana Libeneke Muhidin Issa Michuzi 
 Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Google Afrika akisalimiana na Muhidin Issa Michuzi
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma wa pili kutoka kushoto pamoja na Baadhi ya Bloggers.
Baadhi ya Bloggers wakiwa katika jengo la Mawasiliano Tanzania Baada ya Mafunzo katika siku ya kwanza.


Na Mbeya yetu