Picha: Watoto wa miaka mitano wakicheza ngoma mbele ya Rais Kikwete

MH.RAIS DKT.JAKAYA M.KIKWETE AKIWAFURAHIA WASANII CHPUKIZI MTOTO GOSBERT BWERE (4), ANAYEPIGA NGOMA NA MWENZAKE NYAMBARI MGANGA(5) WALIPOK... thumbnail 1 summary
MH.RAIS DKT.JAKAYA M.KIKWETE AKIWAFURAHIA WASANII CHPUKIZI MTOTO GOSBERT BWERE (4), ANAYEPIGA NGOMA NA MWENZAKE NYAMBARI MGANGA(5) WALIPOKUWA WAKITUMBUIZA MUDA MFUPI BAADA YA KUWASILI KTK UWANJA WA NDEGE WA NANSIO-UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI