Picha za ajali msafara wa wabunge kwenda hifadhi ya Ngorogoro

Baadhi ya waandishi wa habari wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kutokea ajali ya gari walilokuwa wamepanda katika msafara wa wabunge... thumbnail 1 summary

Baadhi ya waandishi wa habari wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya kutokea ajali ya gari walilokuwa wamepanda katika msafara wa wabunge waliokuwa safarini kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro jana, ambalo lilipindua eneo la Karatu na kuwajeruhi waandishi wanne ambao walipelekwa kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Karatu.
 Baadhi yao wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya ajali hiyo.
Hili ndilo gari walilokuwa wamepanda waandishi hao..