SAKATA LA NGORONGORO: Msigwa atoa nyaraka kuthibitisha madai ya ufisadi wa Kagasheki

Nani mwongo Kati ya Msigwa na Kagasheki. Nimuda sasa tumeendelea kusikiliza malumbano kati ya Mchungaji Msigwa na Waziri wa Mali asili Kag... thumbnail 1 summary

Nani mwongo Kati ya Msigwa na Kagasheki. Nimuda sasa tumeendelea kusikiliza malumbano kati ya Mchungaji Msigwa na Waziri wa Mali asili Kagasheki, Leo malumbano hayo yamechukuwa sura mpya baada ya Msigwa kutoa ushahidi wa Nyaraka zinazo onyesha Mke wa waziri huyo alichoto pesa kupitia foundation yake (YA FAMILIA).

Hayo yaliwekwa bayana leo kupitia bandiko kwa nyaraka katika Usokitabu wa Mchungaji Msigwa na yeye kusema  ”Ninachotaka ni Waziri ajibu hoja. Akisema Mimi natumiwa na mafisadi bado hujajibu hoja yangu akatae hapa Kama hajavunja utaratibu na kukiuka maadili ya UONGOZI”

document
document 2
document 3
 Chanzo: Community