Simon Mkina: Mtalii wa Tanzania ndani ya Marekani

Asante KUBWA kwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Waandishi wa Habari Tanzania (Tajoa) Simon Mkina kwa kukubali ku-share nami picha za matukio ya zia... thumbnail 1 summary
Asante KUBWA kwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Waandishi wa Habari Tanzania (Tajoa) Simon Mkina kwa kukubali ku-share nami picha za matukio ya ziara yake ya utalii nchini Marekani. 

Kama unavyojua watalii wengi kutoka nchi za ulaya, amerika na kwingineko humiminika kuja nchi Tanzania kujionea mambo mengi ndivyo ilivyokuwakwa Mkina mabye ameamua kufanya ziara katika maeneo mbalimbali likiwemo eneo lenye kuzalisha umeme Hoover Dam, lililoko Las Vegas, Nevada, makumbusho ya zana za kivita na mambo ya anga huko Utah, Marekani na maeneo mengine mengi.
 BIG THANKS TO MKINA