TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOKADIRIWA KUFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOKARIBIA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA PWANI YA KASKAZINI

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 18/09/2013.

[Mikoa ya Kagera,  Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya  Kigoma na  Shinyanga]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
[Mikoa ya Rukwa, Iringa  na Mbeya]:
[Mikoa ya Morogoro, na Tabora]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]: 
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOKADIRIWA KUFIKIA KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOKARIBIA MITA 2 YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA PWANI YA KASKAZINI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
10°C               
12:30
12:31
D'SALAAM
33°C           
20°C           
12:19
12:20
DODOMA
29°C
15°C
12:43
12:34
KIGOMA    
31°C
21°C
12:57
12:58
MBEYA
27°C
07°C
12:44
12:42
MWANZA
28°C
17°C
12:43
12:46
TABORA
32°C
18°C
12:45
12:46
TANGA
30°C
21°C
12:20
12:21
ZANZIBAR
31°C           
21°C           
12:19
12:20

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki;  kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani                                   ya Kaskazini na kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 20/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 18/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.