Watu wasiofahamika
wameanzisha vitendo vya kikatili vya kukata kwato za punda na kuziuza Mkoani
Singida.
Japo haijafahamika
mara moja huenda kuziuza wapi na zinatumika katika shughuli ipi lakini kuna
haja ya jeshi la polisi na mamlaka nyingine kuchunguza na kubaini ukweli wa
jambo hilo.
Tazama picha ya namna
punda hao wanavyokatwa kwato zao, tukio hili limetokea hivi karibuni Mkoani Singida