UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 01/09/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 01/09/2013.


[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Mara, Mwanza  na  Kagera]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma,Shinyanga, Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma, Mbeya, Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya  Kigoma, Iringa na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
11°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
31°C           
20°C            
12:24
12:22
DODOMA
30°C
16°C
12:38
12:36
KIGOMA   
31°C
21°C
01:02
01:00
MBEYA
28°C
10°C
12:49
12:43
MWANZA
28°C
17°C
12:47
12:49
TABORA
32°C
18°C
12:50
12:48
TANGA
29°C
22°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
30°C           
20°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani                                                                  
                                  ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumanne: 03/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 01/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.