UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 10/09/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI  MAMLAKA  YA HALI YA HEWA               S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM TELEFAX-2460772. email: met@meteo.go.tz [Afri... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
 MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
              S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772. email: met@meteo.go.tz
[African Media Group Radio Station (Magic FM 92.9 and Classic FM 103.1)

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 10/09/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara  na Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua  katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Morogoro]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua  nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga na Tabora]: [Mikoa ya Kigoma, Rukwa, Iringa  na Mbeya]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C               
09°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
32°C           
18°C           
12:24
12:22
DODOMA
28°C
15°C
12:38
12:36
KIGOMA   
32°C
20°C
01:02
01:00
MBEYA
24°C
10°C
12:49
12:43
MWANZA
29°C
16°C
12:47
12:49
TABORA
32°C
18°C
12:50
12:48
TANGA
29°C
18°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
30°C           
20°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20kwa saa;  kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya                                  Kaskazini na  kutoka Mashariki  kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Alhamis: 12/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 10/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.