UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 14/09/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 14/09/2013.

[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Morogoro na Lindi]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Kagera]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa, Iringa  na Mbeya]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Mwanza, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mara, Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Ruvuma na  Mtwara ]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
10°C               
12:30
12:31
D'SALAAM
31°C           
19°C           
12:19
12:20
DODOMA
31°C
16°C
12:43
12:34
KIGOMA   
31°C
20°C
12:57
12:58
MBEYA
23°C
14°C
12:44
12:42
MWANZA
30°C
19°C
12:43
12:46
TABORA
34°C
18°C
12:45
12:46
TANGA
30°C
21°C
12:20
12:21
ZANZIBAR
30°C           
20°C           
12:19
12:20

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma; kutoka Kusini-Mashariki  kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani  ya Kaskazini na  kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 16/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 14/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.