UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 02/09/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 02/09/2013.

[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Mara, Mwanza  na  Kagera]:
[Mikoa ya Shinyanga na Kigoma]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma, Mbeya, Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya Iringa na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C               
16°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
32°C           
20°C            
12:24
12:22
DODOMA
29°C
16°C
12:38
12:36
KIGOMA    
30°C
19°C
01:02
01:00
MBEYA
28°C
10°C
12:49
12:43
MWANZA
27°C
19°C
12:47
12:49
TABORA
32°C
19°C
12:50
12:48
TANGA
30°C
22°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
30°C           
21°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani                                                         ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 04/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 02/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.