UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 09/09/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 09/09/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Kigoma]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua  katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Morogoro]: [Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua  nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga na Tabora]: [Mikoa ya Rukwa, Iringa,  Mbeya na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
14°C               
12:33
12:35
D'SALAAM
31°C           
19°C           
12:24
12:22
DODOMA
29°C
16°C
12:38
12:36
KIGOMA    
31°C
21°C
01:02
01:00
MBEYA
26°C
07°C
12:49
12:43
MWANZA
30°C
18°C
12:47
12:49
TABORA
32°C
19°C
12:50
12:48
TANGA
30°C
21°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
30°C           
21°C           
12:24
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20kwa saa;  kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya                                  Kaskazini na  kutoka Mashariki  kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 11/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 09/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.