UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 22/09/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 22/09/2013.

 [Mikoa ya Kagera, Kigoma na Shinyanga ]:
 [Mikoa ya Mara na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa, Tabora  na Mbeya]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]: 
[Mikoa ya Ruvuma na Iringa]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
15°C               
12:24
12:30
D'SALAAM
32°C           
21°C           
12:13
12:19
DODOMA
30°C
18°C
12:27
12:33
KIGOMA    
31°C
18°C
12:57
12:58
MBEYA
28°C
14°C
12:36
12:41
MWANZA
29°C
19°C
12:38
12:44
TABORA
34°C
22°C
12:39
12:45
TANGA
30°C
23°C
12:14
12:20
ZANZIBAR
30°C           
22°C            
12:13
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani   
                                     yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                            
Matazamio kwa siku ya Jumanne: 24/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 22/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.